Nyota wa Hispania, Paco Alcacer (kulia) akishangilia na Lionel Messi baada ya kuifungia Barcelona mabao yote mawili dakika za 23 na 65 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sevilla usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Bao la Sevilla lilifungwa na Guido Pizarro dakika ya 59.
Sanaaaaa
ReplyDelete