| WELCOME TO MEX DEL MOTTO
Mex09.INC. Powered by Blogger.

Translate

Wednesday, 1 November 2017




Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM limekiri Kumkamata na kumshikilia Mbunge Zitto Kabwe



Na katika hatua nyingine, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM limekiri Kumkamata na kumshikilia Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zito Kabwe kwa tuhuma za kutoa maeneo ya Uchochezi dhidi ya serikali pamoja na Chama tawala.
Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo
Kamishna Msaidizi mwandamizi Lazaro Mambosasa amesema Zitto anatuhumiwa kwa nyakati tofauti kutoa maneno yanayodaiwa ya Uchochezi ikiwemo eneo la Kijichi na kwamba Jeshi hilo linaendelea kumhoji kwa tuhuma hizo.

0 comments:

Post a Comment